post-feature-image
HomeBurudani

Wema: Nawapenda Diamond na Zari they make such a good couple!

Kwa mara ya kwanza Wema Sepetu amezungumza kuhusu uhusiano wa aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na m...

Kwa mara ya kwanza Wema Sepetu amezungumza kuhusu uhusiano wa aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na mrembo wa Uganda, Zari The Boss Lady ambao sasa ni ‘talk of East Africa’.

enzi za mahaba ya Diamond na Wema walipohudhuria tuzo za MTV MAMA South Africa mwkaa huu
Alianza kwa kuwasifia na kusema anaipenda couple yao,
“Aisee nawapenda they make such a good couple, yeah” alipoulizwa na Soudy Brown wa U Heard ya XXL kama haoni wivu alijibu, “Wivu wa nini mimi and Diamond we were not meant to be it didn’t work basi, so I wish him all the best and I wish him happiness.”

Wema na Van Vicker wakiwa kwenye moja ya scene ya filamu yao mpya
Siku chache zilizopita Wema alirejea kutoka Ghana ambako alienda kufanya filamu na muigizaji wa huko aitwaye Van Vicker, na alipoulizwa kuwa hivi sasa ameanza kuwa busy zaidi na kazi zake toka aachane na Diamond tofauti na wakati uhusiano wao ulipokuwa hai, hiki ndicho alichojibu:
“Mi naweza kusema kwamba maybe kila kitu ni starting point and all this my work and my issues ilihitaji starting point, labda nilipokuwa kwenye mapenzi na Nasib nilikuwa blinded kuyaangalia maisha yangu na future yangu…”
Dimond and Zari Diamond na Zari wakielekea Rwanda
Diamond ambaye weekend iliyopita alifanya show Burundi ameambatana na mpenzi wake Zari ambao jana wametua pamoja Rwanda kwaajili ya show nyingine ya mwaka mpya.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Wema: Nawapenda Diamond na Zari they make such a good couple!
Wema: Nawapenda Diamond na Zari they make such a good couple!
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj45NL2x2mjKsIOsMTJ2OKpBRUEzxTieUuB1WgEjQjukFe8iKirZsLYOF2tFop6y_a2hCYJbQBWhVE8g7NZAKTbolQ50p-8wvUHVYTdkkWYOO5jAjKTNbSRqxMnBuqZwNsabgwgctJqcUk/s1600/hISIA+(1).jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj45NL2x2mjKsIOsMTJ2OKpBRUEzxTieUuB1WgEjQjukFe8iKirZsLYOF2tFop6y_a2hCYJbQBWhVE8g7NZAKTbolQ50p-8wvUHVYTdkkWYOO5jAjKTNbSRqxMnBuqZwNsabgwgctJqcUk/s72-c/hISIA+(1).jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/wema-nawapenda-diamond-na-zari-they.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/wema-nawapenda-diamond-na-zari-they.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago