post-feature-image
HomeBurudani

Wastara: Sajuki aliondoka na nusu ya akili yangu

Muigizaji wa filamu, Wastara Juma Sajuki amesema pengo la mume wake Sajuki halijazibika. “02.01.2015 Marehemu mume wangu kipenzi J...

New Track:- Diamond Platnum Ft. Mugabe - Lawama
HIVI NDIVYO FLORA ALIVYOPANGUA TUHUMA ZA ‘UKOBE’
Aunt Ezekiel AKERWA NA MASHOGA
Muigizaji wa filamu, Wastara Juma Sajuki amesema pengo la mume wake Sajuki halijazibika.

“02.01.2015 Marehemu mume wangu kipenzi Juma Kilowoko (sajuki)anatimiza miaka 2 tangu atuache tukiwa na majozi tele moyoni mwetu,” ameandika Wastara kwenye Facebook.
 
“Ni ukweli usipoingika ameondoka na nusu ya akili yangu maana sifanyi chochote bila kumfikilia yeye kwa jinsi alivyokua na mawazo mazuri ya kujenga namkumbuka na nitamkumbuka siku zote za maisha yangu,nampenda na nitampenda siku zote.
 
"Hivyo 02.01.2015 kutakuwa na dua itakayosomwa kwenye kaburi lake kisutu Dar es salaam kuanzia saa nne asubuhi,na badae kutakuwa na dua nyumbani tabata pamoja na chakula cha mchana kwa watakaojaliwa naomba tuungane pamoja kwenye dua hii,asanteni nawapenda wote.”

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Wastara: Sajuki aliondoka na nusu ya akili yangu
Wastara: Sajuki aliondoka na nusu ya akili yangu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj3b0X8NDhF29wP5mtB82eFCLWvb2Wn4w8jmZHJwtzB6afRK3XPrtSnOMhIi3arLHrcMZrbTIq8jgn1FXb7dRQsEtddq4YngwG-27um31GW8tQjaxbejq-6XiVzZ21J1aPAzdBz711kSqA/s1600/hISIA+(2).jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj3b0X8NDhF29wP5mtB82eFCLWvb2Wn4w8jmZHJwtzB6afRK3XPrtSnOMhIi3arLHrcMZrbTIq8jgn1FXb7dRQsEtddq4YngwG-27um31GW8tQjaxbejq-6XiVzZ21J1aPAzdBz711kSqA/s72-c/hISIA+(2).jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/wastara-sajuki-aliondoka-na-nusu-ya.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/wastara-sajuki-aliondoka-na-nusu-ya.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago