Archive Pages Design$type=blogging

SHILOLE: BILA KIUNO NISINGEFIKA ULAYA!

MSANII wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kwamba shavu la shoo alilopata la Bara la Ulaya limetokana na...

MSANII wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kwamba shavu la shoo alilopata la Bara la Ulaya limetokana na kukata kwake kiuno hivyo mashabiki kuvutiwa naye.  Msanii wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na AT, Uingereza.
Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hili akiwa barani humo anakoendelea kufanya shoo, Shilole alisema juhudi zake binafsi ndizo zilizompa shoo huko na hakutafutiwa na mtu yeyote pia anamshukuru Mungu kwani ameweza kuliteka soko la nje.
“Kiuno changu na muziki ninaoimba ndiyo umenifanya nikapata shoo za Ulaya na juhudi zangu pia hapa nina shoo nne ambapo nitarudi Bongo Desemba baada ya kuzimaliza,” alisema Shilole.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: SHILOLE: BILA KIUNO NISINGEFIKA ULAYA!
SHILOLE: BILA KIUNO NISINGEFIKA ULAYA!
http://api.ning.com:80/files/Ov90wJC7zCyChyhzuXG-t6lC0dLty9sOTE-oCZFFD1-pk4wZ-f2goVW9N-QnfdD5-WEfcuEou3ey0OtT4Sl*glKqxQ4SgZfl/1502311_10202146529479707_551408509_o.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/shilole-bila-kiuno-nisingefika-ulaya.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/shilole-bila-kiuno-nisingefika-ulaya.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago