Archive Pages Design$type=blogging

RAY C ANG’ATWA NA PAKA KUFA NDANI YA SIKU 97!

Staa anayetamba na ngoma mpya ya ‘Nshumu nshumu’, Rehema Chalamila ‘Ray C’ hivi k aribuni alijikuta katika wakati ngumu baada ya kuv...

Staa anayetamba na ngoma mpya ya ‘Nshumu nshumu’, Rehema Chalamila ‘Ray C’ hivi k aribuni alijikuta katika wakati ngumu baada ya kuvamiwa na paka na kumng'ata kwenye mguu.
Sosi wa habari hii alisema kuwa Paka yule alikuwa eneo la Methadone Mwananyamala Hospitali ambapo mwanamuziki huyo anakunywa dawa.


Staa anayetamba na ngoma mpya ya ‘Nshumu nshumu’, Rehema Chalamila ‘Ray C’.

“Alipopita Ray C alirukiwa na paka na kumgangania mguu alijaribu kumzuia lakini hakufanikiwa kitendo kilichozua utata kwani bila watu kumsaidia paka yule asingetoka mguuni kwake”, alisema Sosi.
Aidha Sosi huyo alisema kuwa  baada ya paka huyo kumvamia mambo yake yamekuwa magumu ni mtu ambaye anaomba hata mia tano na kwa sasa amefunga mghahawa wake.

“ Yaani Ray C kwa sasa anatia aibu kwani maisha yamemharibikia mpaka watu wanadai kuwa huenda yule paka hakuwa wa heri, amekuwa mlevi anavuta sigara ovyo mpaka mwenye nyumba wake hamtaki tena nadhani mkataba wake umesitishwa”, alisema Sosi.

Baada ya habari hizi kutua kwenye meza ya Ijumaa mwandishi alimwendea hewani Ray C ambaye alikiri kuvamiwa na paka na kudai kuwa yeye haamini kama unaweza kuwa ni uchawi anahisi alimkanyaga mkia bila kujua.

“Yaani watu wanapenda kuongea sana mimi kwa sasa mambo yangu yanaenda vizuri tu si mnaona hata nyimbo nimetoa, paka ni sihu ya siku nyingi mpaka nishapona jeraha, duka nimefunga kwasababu nataka kufungua duka kubwa la nguo na nusu yake nitafungua ofisi nyingine, ” alisema Ray C Aidha Ray C alipinga vikali suala la kuvuta sigara na kudai kuwa watu wanaompakazia wana nia ya kumharibia mambo yake kwasababu kwa sasa wameona ana maendeleo

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: RAY C ANG’ATWA NA PAKA KUFA NDANI YA SIKU 97!
RAY C ANG’ATWA NA PAKA KUFA NDANI YA SIKU 97!
http://api.ning.com/files/dzn4ICuAlE6P5EM4TuYDeCG-oWRw1d24GvyGY4gQHrxccFULwAdJSIcX9M2AakHiYcP9PFaKsSyu8u-jsb7gvAEHH25i8IOZ/raycmm.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/ray-c-angatwa-na-paka-kufa-ndani-ya.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/ray-c-angatwa-na-paka-kufa-ndani-ya.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago