post-feature-image
HomeBurudani

MZEE MAJUTO: MASTAA WA KIKE WANATAKA KUNIVUNJIA NDOA YANGU!

Ndoa tamu! Mkongwe wa sinema za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’  amesema kuwa, ...

Hizi ndio Picha za utengenezaji wa video mpya ya JULIO “HAINA NOMA” ft Chege Chigunda na Madee - Pitia uangalie.
Hii Ndio show Kali iliyofanyika CLUB 71 TEGETA Juzi - Angalia Picha Hapa za Wasanii Kibao
DENTI ABAKWA, AZIMIA, ALAZWA

Ndoa tamu! Mkongwe wa sinema za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’  amesema kuwa, wasanii wa kike wamekuwa wakimpa usumbufu kiasi cha kuifanya ndoa yake itetereke kutokana na kuvutiwa naye kimapenzi.
Mkongwe wa sinema za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ akiwa na Sabby.
Pasipo kuwataja majina, Mzee Majuto alisema mastaa hao wamekuwa wakimsumbua kiasi cha kusababisha kero kubwa kwa mkewe na kumfanya apoteze imani kwenye ndoa yake.
“Usumbufu upo wala siwezi kuwalaumu sababu mimi japo ni mzee lakini ni mwanaume mzuri ambaye ninawavutia kutokana na mambo yangu ninayoyafanya, kimsingi wanachotakiwa kuheshimu ni ndoa yangu,” alisema Mzee Majuto.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MZEE MAJUTO: MASTAA WA KIKE WANATAKA KUNIVUNJIA NDOA YANGU!
MZEE MAJUTO: MASTAA WA KIKE WANATAKA KUNIVUNJIA NDOA YANGU!
http://api.ning.com:80/files/Ov90wJC7zCwbWRSeyvHrkpDdpbe046WxEaz3i92udKjfp94vZLnSpwQ2bhTa9K96lNKLXYysHEYgN-qxIMiOVxidPqpjdFZq/majutooo2.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/mzee-majuto-mastaa-wa-kike-wanataka.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/mzee-majuto-mastaa-wa-kike-wanataka.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago