Archive Pages Design$type=blogging

JACK PATRICK ATWANGWA TALAKA AKIWA JELA

Masikini! Wakati akiendelea kutumikia kifungo cha miaka saba jela huko Macau nchini China, mwanamitindo mwenye mvuto wa kipekee Bong...

Masikini! Wakati akiendelea kutumikia kifungo cha miaka saba jela huko Macau nchini China, mwanamitindo mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick, ametwangwa talaka na aliyekuwa mumewe, Abdullatif Fundikira ‘Tiff’ na tayari amemuoa Miss Tanzania 2011, Salha Israel.


Wakati mwanamitindo Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick akiwa na mumewe, Abdullatif Fundikira ‘Tiff’.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda wikiendi iliyopita baada ya gazeti ndugu na hili, Amani kutoa habari ya Miss Tanzania kuolewa na mume wa Jack, Tiff alisema kuwa mke wake wa sasa (Salha) amemuoa kihalali na kwamba yeye siyo mume wa mtu kwa sababu ameshampa talaka Jack aliyemuoa mwaka 2011.

“Kwa sasa mke wangu ni Salha. Sina mke mwingine zaidi yake kwa kuwa Jack nimeshampa talaka hivyo huyu mke wangu nimemuoa kihalali kabisa wala sina mke mwingine zaidi yake,” alisema Tiff.


Mke mpya wa Abdullatif Fundikira ‘Tiff’, Miss Tanzania 2011, Salha Israel akipozi.

Jack yupo selo tangu mwaka jana akitumikia kifungo cha miaka saba baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya nchini China akidaiwa kwamba kama atakuwa na heshima akiwa gerezani adhabu hiyo itapunguzwa.
CREDIT: GPL

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: JACK PATRICK ATWANGWA TALAKA AKIWA JELA
JACK PATRICK ATWANGWA TALAKA AKIWA JELA
http://api.ning.com/files/kdMiOwfaxvdSWlgLmYHzD5TW5*Vl63CjQ*8nnrMM4K0vRyrA1m26FKOAMK11XUoKMIfKZPOGt5TKE1gnldsqfv43dEJL2VP2/jack1.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/jack-patrick-atwangwa-talaka-akiwa-jela.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/jack-patrick-atwangwa-talaka-akiwa-jela.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago