Archive Pages Design$type=blogging

HIVI NDIVYO WEMA ALIVYOMTAMBULISHA MSANII MPYA CLUB 71 TEGETA, DAR

Wema Sepetu, akiwashukuru mashabiki zake kwa sapoti waliyokuwa wakimpa kwa kipindi chote cha mwaka mzima 2014, pia alitumia fursa...

Wema Sepetu, akiwashukuru mashabiki zake kwa sapoti waliyokuwa wakimpa kwa kipindi chote cha mwaka mzima 2014, pia alitumia fursa hiyo kumtambulisha msanii mpya atakae fanya kazi za muziki chini yake.
 Msanii wa Bongo Fleva Ally Luna (kushoto), akiimba wimbo maalum wa kumsifia Wema mara baada ya kutambulishwa kuwa chini ya Kampuni ya Endless Fame.
 Wema Sepetu akitunza Ally Luna.

 Wema akiselebuka na meneja wake Martine Kadinda muda mfupi baada ya shoo hiyo kumalizika.

MKURUGENZI wa Endless Fame Wema Sepetum usiku wa kuamkia leo amemtambulisha msanii mpya wa Bongo Fleva Ally Luna, kuwa naye  atakuwa ni mmoja wa wasanii wa kampuni hiyo, ambapo atasimamiwa shughuli zote za kimuziki kama ilivyo kwa Mira.
 
Tukio la utambulisho wa msanii huyo lilifanyika ndani ya Ukumbi wa Club 71 iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam, ambapo mbali na tukio hilo pia shoo hiyo ilikuwa ni maalumu kwaajiri ya  kufunga mwaka kwa kampuni hiyo na kuwashukuru wadau wote waliyokuwa wakiwaunga mkono kwa karibu.
 
Shoo hiyo ilisindikizwa na wasanii kibao wa Bongo Fleva, akiwemo Bob Junior,Godzilah, Izzo Busnes, Barnaba Boy, Linex na Mirra, ambapo burudani ilikamilika kwa Wema kumtambulisha Ally Luna ma kuwashukuru mashabiki wote waliojitokeza kujumuika pamoja nao usiku huo.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: HIVI NDIVYO WEMA ALIVYOMTAMBULISHA MSANII MPYA CLUB 71 TEGETA, DAR
HIVI NDIVYO WEMA ALIVYOMTAMBULISHA MSANII MPYA CLUB 71 TEGETA, DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjS61vbEHHdhAB8NPn2Z8ddpyTTVIOpf5t3_4-G750TWhNRLj1PieHnIlgRDXutpm3VZt1xuOLHnYiebQFiBF5eadkqqtlzFmmgj0b5iIIAEr632LsFsYR1fQ4U_m-WMjxiCpNLqpnvZ2w/s1600/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjS61vbEHHdhAB8NPn2Z8ddpyTTVIOpf5t3_4-G750TWhNRLj1PieHnIlgRDXutpm3VZt1xuOLHnYiebQFiBF5eadkqqtlzFmmgj0b5iIIAEr632LsFsYR1fQ4U_m-WMjxiCpNLqpnvZ2w/s72-c/1.JPG
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/hivi-ndivyo-wema-alivyomtambulisha.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/hivi-ndivyo-wema-alivyomtambulisha.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago