Archive Pages Design$type=blogging

FAIZA: MIMI SIYO MBULULA KWA KUVAA PEMPASI

Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya mjini Mh.Joseph Mbilinyi ‘Mr  Sugu’, Faiza Ally. Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya mjini Mh.Joseph...



Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya mjini Mh.Joseph Mbilinyi ‘Mr  Sugu’, Faiza Ally.

Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya mjini Mh.Joseph Mbilinyi ‘Mr  Sugu’, Faiza Ally amefunguka kuwa, watu wasidhani kuwa yeye ni mbulula kwa uamuzi wake wa kuvaa pempasi ukumbini bali aliamua tu.

Akipiga stori na Ijumaa juzikati, Faiza alisema ameshangaa kuona watu wanaona ni ishu kwakwe kuvaa vazi hilo na alifanya vile makusudi kuonesha kuwa ni siku yake ya kuzaliwa na hivyo siku hiyo alikuwa kama mtoto.

Faiza Ally.

“Jamani mimi siyo Mbulula wa kuvaa vile kama baadhi walivyosema, mimi nina uamuzi wa kuvaa chochote ambacho najiskia.

“Kuvaa vile ilikuwa ni katika kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa, mbona marafiki zangu hawakuona kuwa ni jambo baya?” alisema Faiza ambaye hivi karibuni alitinga kwenye Ukumbi wa Sea Cliff uliopo Masaki jijini Dar akiwa amevaa pempasi na kitop, jambo lililozua gumzo.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: FAIZA: MIMI SIYO MBULULA KWA KUVAA PEMPASI
FAIZA: MIMI SIYO MBULULA KWA KUVAA PEMPASI
http://api.ning.com/files/dzn4ICuAlE7A*qWbPlysjqFOSURzNKq6M*Zv1kGTkkZzZ8xQOgjlN-Jd2dUStM7q97PHKdLXDQXbIpSwhmT4fdYnI2x9KQPh/IMG20141218WA0003.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/faiza-mimi-siyo-mbulula-kwa-kuvaa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/faiza-mimi-siyo-mbulula-kwa-kuvaa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago