Archive Pages Design$type=blogging

Cheni (Mkufu) wa LULU wazua utata. Wengi wasema ni kama wa IDRIS. Wachache wadai eti ni FREEMASONS

  Baada ya mwanadada LULU kutupia picha yake mpya kwenye mtandao akiwa amevaa cheni ama mkufu  mpya shingoni mwake, maswali kadhaa ya ...

 
Baada ya mwanadada LULU kutupia picha yake mpya kwenye mtandao akiwa amevaa cheni ama mkufu  mpya shingoni mwake, maswali kadhaa ya wadau yameanzaje kujitokeza kuhusu cheni hiyo pamoja na maana yake.
Huku kukiwa bado kuna vuguvugu la ushindi wa Tshs.  MILLIONI 500 za kijana Idris toka jumba la BIG BROTHER na lulu akiwa ni mmoja wa watu wakubwa sana waliokuwa wanawahimiza wananchi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na mipaka yake kumpigia kura kijana huyu ili ashinde, maswali Kadhaa yamejitokeza kuhusiana na mkufu huo ulioko kwenye shingo laini ya mrembo LULU.
1. Swali kuu la kwanza?
Je, LULU kanununua mkufu wenye alama hiyo ili ufanane na ule wa Idris aliyeshinda million 500? kama mpango yakinifu wa kujiweka karibu na ‘Millionea’ huyo?
2. Swali kuu la pili?
Lulu kajiunga FREEMASONS? Mbona mkufu wake huo una alama zao zile zaoo?
Tusaidie ndugu msomaji kwa maoni yako hapo chini…

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Cheni (Mkufu) wa LULU wazua utata. Wengi wasema ni kama wa IDRIS. Wachache wadai eti ni FREEMASONS
Cheni (Mkufu) wa LULU wazua utata. Wengi wasema ni kama wa IDRIS. Wachache wadai eti ni FREEMASONS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh754Ir7Ym9myBYVaTeVktHWQ3HUCgOG0O1fIxRKucMZZkAqdaDx7ajMGdYuKiYWpsbLXTgNEwdnLTVdlxsLj3w2p5DZv0dQuT0cSFxJ7gHF1zttzXTN7KWgjjevnitZ731T8t5OPOeT_k/s1600/Idris_na_LULU.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh754Ir7Ym9myBYVaTeVktHWQ3HUCgOG0O1fIxRKucMZZkAqdaDx7ajMGdYuKiYWpsbLXTgNEwdnLTVdlxsLj3w2p5DZv0dQuT0cSFxJ7gHF1zttzXTN7KWgjjevnitZ731T8t5OPOeT_k/s72-c/Idris_na_LULU.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/cheni-mkufu-wa-lulu-wazua-utata-wengi.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/cheni-mkufu-wa-lulu-wazua-utata-wengi.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago