Archive Pages Design$type=blogging

BATULI: NAYACHUKIA MAPENZI YALIYOPITA

STAA mkali wa filamu za hapa Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa hakuna kitu ambacho kinamuuza na kukichukia kama mapenzi...

STAA mkali wa filamu za hapa Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa hakuna kitu ambacho kinamuuza na kukichukia kama mapenzi yaliyopita.


Staa mkali wa filamu za hapa Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’.

Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Batuli alisema kuwa  anachukia na kudharau mno uhusiano uliopita kwani haukuwa ni sahii kwake hivyo hataki hata kuukumbuka.

“Nayachukia sana mapenzi yaliyopita kwa kweli na kuna wakati sipendi kabisa kuifanya akili yangu ikumbuke uhusiano wa nyuma, maana hauna kumbukumbu nzuri kwangu,” alisema Batuli ambaye alishawahi kubanjuka penzini na mwigizaji Mohamed Mtonesia ‘Mtunis’ na Mr. Kelvin walifunga naye ndoa na kumwagana.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: BATULI: NAYACHUKIA MAPENZI YALIYOPITA
BATULI: NAYACHUKIA MAPENZI YALIYOPITA
http://api.ning.com/files/kdMiOwfaxvcxNmnkFvwHWnXROfg-o60b5Da9K3DHPtuS3Pi6bAr24r6mV0oC3LVNbR-sOwcKZIT5OJVYUnwik7zi*5IoB2WC/BATULI1.PNG?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/batuli-nayachukia-mapenzi-yaliyopita.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/batuli-nayachukia-mapenzi-yaliyopita.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago