Archive Pages Design$type=blogging

AUNT EZEKIEL: BORA NIZAE TU, UMRI UMEENDA!

Stori: Imelda Mtema NENO! Siku chache baada ya kuripotiwa kuwa ni mjamzito, staa ...


Stori: Imelda Mtema NENO! Siku chache baada ya kuripotiwa kuwa ni mjamzito, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameibuka na kufunguka kuwa, aachwe azae kwani umri unazidi kuyoyoma.Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Aunt alisema watu wamekuwa wakizungumza sana kuhusu ujauzito wake lakini kikubwa ni kwamba ameupata akiwa na umri sahihi na wala siyo chini ya miaka 18.
“Najua watu wengi wanazungumza kuhusu mimi na ujauzito wangu lakini mimi sijaona tatizo na tena siko chini ya umri wa miaka 18 sijui kama kuna tatizo lolote nikipata mtoto na hivyo kama mimba ipo watu wasubiri,” alisema Aunt ambaye amekuwa mzito kuanika umri wake hadharani.
Aunt ambaye aliolewa mwaka 2012 na Sunday Demonte anayedaiwa kusota nyuma ya nondo huko Dubai kwa msala wa madawa ya kulevya, kwa sasa anadaiwa kubanjuka kimapenzi na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moze Iyobo.
Hata hivyo, mimba hiyo ya Aunt haijajulikana kama ni ya Iyobo au mwanaume mwingine maana wawili hao wamekuwa wakichenga kuizungumzia.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: AUNT EZEKIEL: BORA NIZAE TU, UMRI UMEENDA!
AUNT EZEKIEL: BORA NIZAE TU, UMRI UMEENDA!
http://api.ning.com:80/files/VNXpMB91slfYZ4MLf7gMSoMzeY-Uudwum6EZVOAW50H-GJYo7ZpIfEblwR0tAkhqJT6lGaL1L2bOZ5MzYU1QtDERincyy7qd/AuntyEzekiel.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/aunt-ezekiel-bora-nizae-tu-umri-umeenda.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/aunt-ezekiel-bora-nizae-tu-umri-umeenda.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago