Wewe kama hujaolewa halafu unapanua miguu kwa jamaa ambae sio mume wako, yani boyfriend au mchumba kw...
Wewe
kama hujaolewa halafu unapanua miguu kwa jamaa ambae sio
mume wako, yani boyfriend au mchumba kwa minajili ya
kujipatia hela, ujue wewe ni changudoa. Huna tofauti na wale
wanaosimama usiku kujiuza.
Japokuwa
wewe husimami usiku lakini jijue kuwa na wewe ni changudoa
kwasababu wote mnapewa pesa baada ya tendo. Hata kama hupewi
mara tu baada ya tendo kama wanavyofanya changudoa wanaosimama
barabarani, lakini unapewa pesa za matumizi na mtu ambaye si
mume wako kisha ukampanulia miguu, jua wewe ni changudoa au
tunaweza kukuita changudoa mwenye kiwango.
Kwa
wale dada zangu ambao bado hawajaingia katika hii biashara
nawashauri kufunga miguu yenu masije kujiingiza katika hii
bihashara. Kwasababu mbali na kumchukiza Mungu unakuwa
unajishusha thamani wewe mwenyewe.
Halafu uzuri wake ukifanya hivi huwezi ukaja kukosa wa kukuoa dada