Mwanamuziki maarufu wa Lusaka nchini Zambia, Robert Chunga maarufu kwa jina la Bobby East na rafiki wake wa kike, Ruth Mukan...
Mwanamuziki
maarufu wa Lusaka nchini Zambia, Robert Chunga maarufu kwa jina la Bobby East na
rafiki wake wa kike, Ruth Mukanga wamechapwa faini ya Kwacha 8,500 au kutupwa jela miezi 9 kw akutengeneza
video ya matusi.
Chungu, ambaye alijadiliwa sana katika mitandao ya kijamii baada ya kutoa video yake ya ngono akiwa na rafiki yake huyo wa kike, amesema watalipa faini hiyo.
Hakimu wa mahakama ya Lusaka, Mwaka Mikalile Jumatatu wiki hii aliwaona wawili hao kuwa na hatia na kutoa hukumu hiyo jana.
Chunga 25, anayeishi nyumba namba 1551 Zumbo Crescent, Chunga Jijini Lusaka na Mukanga, 21,mwanafunzi anayejifunza masuala ya ujasiriamali na anayeishi nyumba namba 398 A ,Barabara ya Kafue, Makeni walishiriki vyejma katika video hiyo ya ngono ambayo ilitawala vyombo vya mawasiliano vya jamii.
Hakimu Mikalile ametoa hukumu hiyo kwa kuzingatia kwamba hilo ni kosa lao la kwanza.