Baada kugeuka gumzo alipopamba jarida la Paper akiwa uchi wa mnyama, Kim Kardashian amenangwa kwenye mitandao baada ya kiki ya...
Baada kugeuka gumzo alipopamba jarida la Paper akiwa uchi wa mnyama, Kim Kardashian amenangwa kwenye mitandao baada ya kiki yake kufunikwa na ndoa ya dada wa Beyonce, Solange Knowles iliyogeuka gumzo kwenye media na mitandao ikisifiwa kwa kunoga kwake na watu kusahau kumzungumzia Kim aliyepiga picha hizo ili azungumziwe zaidi!
Hizi ni baadhi ya picha alizopiga Kim kwenye Jarida la Paper akiwa kasaula vyooote! Na picha nyingine zimetengezwa zikimnanga bidadaa...jionee mwenyewe -->>
Ndoa ya Solange ilivyonoga na kuwa gumzo kiasi cha kuvunja rekodi ya Kim Kardashian hizi ni baadhi ya picha...
