MWANAMUZIKI wa miondoko ya mduara ambaye pia ni msanii wa filamu, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kwa alichokiona, amek...
.jpg)
Akipiga stori na Ijumaa, Shilole alisema
mwanzo alikuwa akitumia mkorogo aina ya ‘karolaiti’ lakini amegundua
badala ya kumfanya awe mzuri zaidi, umemletea matatizo kwenye mwili
wake.
“Niseme tu kwamba nimekoma na ningejua
nisingefanya jaribio la kujichubua, nimeathrika sana na sijaona faida
yoyote, zaidi umeniharibia ngozi yangu,” alisema Shilole na kuongeza:
“Imefika wakati natamani niirudishe ile
ngozi yangu ya asili lakini siwezi, sasa hivi nikiumia kidonda
kinachukua muda mrefu kupona sababu ya huu mkorogo, warembo wanaojipenda
ni bora wakaachana na mambo hayo.
Credit:Bongoclan