Archive Pages Design$type=blogging

NISHA AMWANIKA MWANAYE

MASTAA wana mambo! Baada ya kukataa kwa muda mrefu kwamba hajawahi kuzaa, msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amemwanika ...




MASTAA wana mambo! Baada ya kukataa kwa muda mrefu kwamba hajawahi kuzaa, msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amemwanika mwanaye anayejulikana kwa jina la Iptysam Othman ‘Angel’ mwenye umri wa miaka 10.
 
Msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha akiwa na mwanae.
“Mimi ni mama bora, ndiyo maana nimekuwa  nikiulizwa na vyombo mbalimbali vya habari kama nina mtoto nilikuwa nakataa kwa sababu sitaki kumkuza mwanangu kupitia media, ni bora akishakua mwenyewe atajitangaza kupitia kazi zake, sikupenda kumwanika kwenye vyombo vya habari kwa sababu siyo maadili mema,”alisema Nisha.
 
Salma Jabu ‘Nisha akiwa kwenye pozi.
Hata hivyo alikana kwa nguvu zote madai kwamba ana watoto wawili, akisisitiza kuwa anaye mmoja tu na hakutaka kumweka wazi kwa vile aliamini hali ile ingemuathiri kisaikolojia, ingawa hakufafanua

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: NISHA AMWANIKA MWANAYE
NISHA AMWANIKA MWANAYE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhewEHZ0fvvcd1yWmrz5lJQhYslNruKi1ifhaHdJ3lL_AeCcl6jvkLGdsYYPX_r4GK-p-ni4n3pXmZIDo5iDPJusx5sKE61hK1bpvSSRJk6CP9OFkqgzGaiVdkmJxsycaf5dr2CicOwygQ/s640/NISHA2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhewEHZ0fvvcd1yWmrz5lJQhYslNruKi1ifhaHdJ3lL_AeCcl6jvkLGdsYYPX_r4GK-p-ni4n3pXmZIDo5iDPJusx5sKE61hK1bpvSSRJk6CP9OFkqgzGaiVdkmJxsycaf5dr2CicOwygQ/s72-c/NISHA2.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/nisha-amwanika-mwanaye.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/nisha-amwanika-mwanaye.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago