Mwenzenu nina tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu...

Yaani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.
Tatizo hili lilinianza toka nilipo
bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo mpenzi wangu, embu naombeni ushauri
nifanyeje ili nisilie? maana sometimes boyfriend wangu anaweza akawa
anakwazika bila mimi kujua. Na je does it exist to another woman? or ni
mimi tu?
Ushauri jamani