Archive Pages Design$type=blogging

MWANAMITINDO MREMBO KUWA REFA LIGI KUU

Claudio Romani sasa amekuwa refa ambaye amefuzu kuchezesha za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza Italia MWANAMITINDO wa Ital...


Claudio Romani sasa amekuwa refa ambaye amefuzu kuchezesha za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza Italia

MWANAMITINDO wa Italia, Claudia Romani ameingia kwenye rani mpya katika ulimwengu wa soka- baada ya kufaulu mtihani wa kuwa refa wa kulipwa.
 
Kimwana huyo mwenye umri wa miaka 32 amevua viatu vyake vya mchuchumio ili awe refa, kitu ambacho imekuwa agenda yake kwa miezi kadhaa.
 
Romani sasa amefuzu kuwa refa wa mechi za Ligi Kuu ya Italia maarufu kama Serie A na Daraja la kwanza, maarufu kama Serie B - kitu ambacho anaelewa vizuri.
 Amesema: "Kukimbia uwanjani na wachezaji wote hao na kuchezesha mechi ni nafasi adimu,".
 
Hakuna mwanamke amewahi kuchezesha mechi ya Serie A hadi sasa kutokana na uzoefu, jambo ambalo linatarajiwa kubadilika karibuni kwa Romani kutazamiwa kuwasha moto katika ligi ya Italia

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MWANAMITINDO MREMBO KUWA REFA LIGI KUU
MWANAMITINDO MREMBO KUWA REFA LIGI KUU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiy3WHh2xgw3NK8J2QDt6gQHrUSpFnlJW4z-fAefVkGXHvy8SdEM2PEdtKflbM1e896C1O9Ol14adXNIZtbxfX9hQGhY8Ei92oQ-FQh3GjvS-EBFNSY0PslN2AaV4DJYNZ9m61WujN8Y3M/s640/1415304513733_Image_galleryImage_Italian_glamour_model_Cla.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiy3WHh2xgw3NK8J2QDt6gQHrUSpFnlJW4z-fAefVkGXHvy8SdEM2PEdtKflbM1e896C1O9Ol14adXNIZtbxfX9hQGhY8Ei92oQ-FQh3GjvS-EBFNSY0PslN2AaV4DJYNZ9m61WujN8Y3M/s72-c/1415304513733_Image_galleryImage_Italian_glamour_model_Cla.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/mwanamitindo-mrembo-kuwa-refa-ligi-kuu.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/mwanamitindo-mrembo-kuwa-refa-ligi-kuu.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago