post-feature-image
HomeBurudani

MWAKIFWAMBA ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI MORO

 Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba. RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwa...

PJ ft KUMPENEKA “JELA YA MAPENZI” (Official Video)
HIVI NDIVYO WASANII BONGO MOVIE NA WADAU MBALI MBALI WALIVYOMLILIA DIRECTOR GEORGE TYSON INSTAGRAM.
Tiwa Savage - Wanted [Official Video]


 Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba.
RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba jana usiku amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akiendesha kupata ajali na kupinduka eneo la Mkindu jirani na mizani mkoani Morogoro.
Mwakifwamba alipata ajali hiyo wakati akijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki 'bodaboda' baada ya gari lake aina ya Toyota Noah lenye namba za usajili T 176 CYM kupata pancha na kuanza kupoteza muelekeo.
Katika gari hilo, Simon alikuwemo peke yake na alitoka salama salimini.
Akiongea na tovoti hii kwa njia ya simu akiwa njiani kurudi Dar, Mwakifwamba alisema, "Ilikuwa majira ya saa 3 usiku wakati nikitokea mkoani Dodoma na nilipofika Mkindu tairi la mbele la gari langu lilipata pancha na mbele yangu alikuwepo mwendesha bodaboda, nikajaribu kumkwepa na tairi la pili likapata pancha na gari kupinduka. Namshukuru Mungu nilitoka salama."
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MWAKIFWAMBA ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI MORO
MWAKIFWAMBA ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI MORO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEheIxsIcMCNtm9db_pQN2wG5dzYZ-P-spF1LjHPdiNCfM6YuUFxucFO8rnJfNlk0cdDvB5ZUFY1c5TCo1JVBOBXQoG-mFPrk3AA99NzSVtqPie81Iyax1RM_uuvBKhnAKtbhdoA9sczUOs/s1600/mwakifwamba531.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEheIxsIcMCNtm9db_pQN2wG5dzYZ-P-spF1LjHPdiNCfM6YuUFxucFO8rnJfNlk0cdDvB5ZUFY1c5TCo1JVBOBXQoG-mFPrk3AA99NzSVtqPie81Iyax1RM_uuvBKhnAKtbhdoA9sczUOs/s72-c/mwakifwamba531.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/mwakifwamba-anusurika-kifo-katika-ajali.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/mwakifwamba-anusurika-kifo-katika-ajali.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago