Archive Pages Design$type=blogging

MSUNGU ANUSURIKA KIFO

Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Stanley Msungu ‘Senetor’ amenusurika kifo baada ya kupata ajali na gari lake kuharibika v...


Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Stanley Msungu ‘Senetor’ amenusurika kifo baada ya kupata ajali na gari lake kuharibika vibaya.
 
Msanii wa filamu Bongo, Stanley Msungu ‘Senetor’.
Akipiga stori na gazeti hili, Msungu alisema anamshukuru Mungu kwani ungekuta sasa hivi ni maiti kwani ajali ilikuwa ni mbaya maeneo ya Bondeni, jijini Dar akielekea nyumbani kwake Tegeta ambapo gari lake alilokuwa akiliendesha aina ya Toyota Vits liliacha njia na kutumbukia mtaroni.
“Yaani ni Mungu tu kwani ungekuta sasa hivi watu wanazungumza mengine japokuwa ninasikia maumivu makali sana ya kifua na shingo pia gari limeharibika vibaya,” alisema Msungu.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MSUNGU ANUSURIKA KIFO
MSUNGU ANUSURIKA KIFO
http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycOlhKeBZ0cDw4UXhn1rhAFHNzEqxAL7vQAikLSqZDVKe7YRzusey84dYtdZFPtzyEdCZmzYlJIYtZon-laN2Fff/J3.JPG?width=594
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/msungu-anusurika-kifo.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/msungu-anusurika-kifo.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago