Archive Pages Design$type=blogging

MISS SINZA 2001 NA SKENDO YA PICHA ZA UTUPU!

Na Gladness Mallya HAMNAZO? MISS Sinza 2001 na aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania...

Na Gladness Mallya
HAMNAZO? MISS Sinza 2001 na aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid ameonesha kuwa ni sikio la kufa baada ya kupiga picha za utupu kwa mara nyingine.
MISS Sinza 2001 na aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid.
Picha hizo zilizotapakaa kwenye mitandao mbalimbali zimewashangaza watu ambapo Husna anaonekana akiwa kama alivyozaliwa huku akiwa katika mapozi tofauti hali inayoonesha kwamba alikuwa akipigwa picha hizo na mpenzi wake.
Husna Maulid akiwa kwenye pozi lenye utauta!.
Kwa mujibu wa mdau ambaye aliziweka picha hizo kwenye mtandao wa Instagram, mwanadada huyo alipigwa picha hizo na mpenzi wake ambaye hakumtaja jina.Alisema mpenzi wake huyo alimuomba ampige picha ili awe anaziangalia kila wakati kwani anampenda sana ambapo Husna alikubali kupigwa picha hizo lakini matokeo yake zikazagaa mitandaoni.
Watu mbalimbali waonesha kushangazwa na picha hizo huku wengine wakimkashfu kwa maneno machafu.
Baada ya kuzinyaka picha hizo, Amani lilimtafuta Husna na kumuuliza ilikuwaje mpaka akakubali kupiga picha hizo za ajabu, alisikiliza kwa makini kisha akakata simu na alipotafutwa tena simu yake ilikuwa ikiita tu bila kupokelewa

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MISS SINZA 2001 NA SKENDO YA PICHA ZA UTUPU!
MISS SINZA 2001 NA SKENDO YA PICHA ZA UTUPU!
http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGhgvE5h6WSLimJu2QmENZq9lRjhNNz*ivnsGv2C6vBB3gJK65vD1G07wASczWSOBqbCfRS3LbJEATWOOWHSRZ76/IMG20141118WA0001.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/miss-sinza-2001-na-skendo-ya-picha-za.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/miss-sinza-2001-na-skendo-ya-picha-za.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago