. Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah Atick. Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah Atick ameifungukia ishu ya kuchor...
.Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah Atick.
Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah
Atick ameifungukia ishu ya kuchoropoa mimba ya msanii Nasibu Abdul
‘Diamond’ na kusema hajawahi kubeba mimba ya staa huyo na wala katika
maisha yake hajawahi kufanya kitendo hicho
“Jamani mimi ni mdogo, kwanza kwa nini
watu wanapenda kunibebesha vitu vikubwa, mimi sijawahi kubeba wala
kuchoropoa mimba katika maisha yangu,” alisema msichana huyo.
Meninah Atick akipozi.
Meninah alienda mbele zaidi na kusema maneno hayo yanaweza
kuwapandisha hasira wapenzi wa Diamond na kumjengea nao chuki, wakati
ukweli ni kwamba hajawahi kutoka na msanii huyo mwenye historia ya
kutoka na wasichana wengi.