post-feature-image
HomeBurudani

KOVA AHUSISHWA NA FREEMASON

KIMENUKA! Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova, wiki iliyopita alifunguka kuwa, kuna watu wamekuwa wakimhus...

KIMENUKA! Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova, wiki iliyopita alifunguka kuwa, kuna watu wamekuwa wakimhusisha na imani ya Freemason.
Kamanda Kova aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya usalama wa mkoa wake kuelekea Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari  (hawapo pichani)
“Wananchi wanatakiwa kuwa makini na hawa watu ni hatari sana,wamekuwa wakitoa namba zao za simu na kuwatangazia wananchi wanaotaka kujiunga nao ili wawe matajiri wapige namba walizotoa ili wajiunge baada ya kutoa fedha, nashangaa hata mimi watu wameshawahi kuniita Freemason wakati siyo kweli,” alisema Kamanda Kova.
“Kwanza ninavyojua mimi Freemason anakuwa tajiri, anakuwa na mali nyingi sasa mimi nina mali gani mpaka watu waseme ni Freemason?” aling’aka Kamanda Kova. Kova hakufafanua ni kwa nini amekuwa akiitwa Freemason ingawa aliwataka wananchi wajihadhari na imani hiyo.
“Polisi wanatoa tahadhari kwa wananchi kwa watu wanaojiita Freemason na kutoa namba zao, hawa ni hatari sana, ni matapeli, hawafai ndani ya jamii, watashughulikiwa,” alisema Kova.Katika mkutano huo na waandishi wa habari Kova alisema kwamba msako mkali umeanza dhidi ya wahalifu na wale wote wanaovunja sheria ikiwa ni pamoja na madereva wa pikipiki na magari
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: KOVA AHUSISHWA NA FREEMASON
KOVA AHUSISHWA NA FREEMASON
http://api.ning.com:80/files/06WphArD*MsKtOIxo5t7ENGhZN6L0PsYrX5b6hyJoWanCOiKvf1E-XZmwVYmvKvkzodGfXe4o8Nx7IXT34bfl38HedbNipDI/suleimankova.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/kova-ahusishwa-na-freemason.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/kova-ahusishwa-na-freemason.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago