Kajala Muigizaji maarufu wa filamu nchini Kajala Masanja amejiunga rasmi Facebook na kabla ya hapo hakuwahi kuwepo Face...
Kajala
Muigizaji
maarufu wa filamu nchini Kajala Masanja amejiunga rasmi Facebook na
kabla ya hapo hakuwahi kuwepo Facebook hivyo akaunti au page zote
ulizokuwa ukiona hakuwa kajala halisi.
Kajala amejiunga Facebook jana usiku na akaunt yake ni hii hapa Kajala Masanja .
Swahiliworldplanet imepata uhakika kuwa kweli hiyo ni akaunt halisi ya
muigizaji huyo wa filamu za Devil Kingdom, Kigodoro na Kijiji Cha ambua
Haki. Pia Kajala anatarajiwa kutamba na filamu yake mpya iitwayo Pishu