STAA wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema kwa sasa hataki kabisa kusikia habari za mwigizaji, Chuchu Hans ambaye wamekuw...
STAA
wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema kwa sasa hataki
kabisa kusikia habari za mwigizaji, Chuchu Hans ambaye wamekuwa
wakitifuana mara kwa mara wakidaiwa kugombea penzi la Vincent Kigosi
‘Ray’.
Akikitemea cheche kinasa sauti cha paparazi
wetu baada ya kuulizwa kuhusiana na hatma ya malumbano yao ya mara kwa
mara na Chuchu, Johari alisema hataki kumzungumzia mwanadada huyo kwani
anampaisha bure.