Archive Pages Design$type=blogging

Huyu Ndio mtaalamu wa IT mwenye umri mdogo kuliko wote Duniani - Video

Ayan Qureshi. Wazazi wengi Afrika wamekuwa hawajali kuvitambua vipaji vya watoto wao kipindi wanapokua kwenye hatua ya utoto na ...

Ayan Qureshi.
Ayan Qureshi.

Wazazi wengi Afrika wamekuwa hawajali kuvitambua vipaji vya watoto wao kipindi wanapokua kwenye hatua ya utoto na wanapoanza kukua, mfano mzuri ni kwamba ukiongea na watu ambao wana vipaji na uwezo mkubwa kwenye mchezo kama mpira wa miguu, ama kuimba na vinginevyo utagundua kwamba jitihada binafsi zimewaongoza kugundua vipaji vyao na mchango wa wazazi ni mdogo ama usiwepo kabisa.

Hot news kutoka Coventry, Uingereza inamhusu Ayan Qureshi ambaye ana umri wa miaka sita tu, na mwaka jana aliingia kwenye list ya watoto waliofanya maajabu ambapo alifanya mtihani wa kampuni ya Microsoft unaothibitisha wataalamu wa IT duniani na kufaulu, baba yake ambaye ni mtaalamu wa IT anasema alimfundisha mtoto wake kuhusu masuala ya Kompyuta tangu akiwa ana umri wa miaka mitatu.

Katika mahojiano na mtoto huyo amesema mtihani ulikuwa mgumu lakini alienjoy kuufanya na alijiandaa kwa miezi mingi kabla ya kuufanya, kutokana na kufaulu mtihani huo kwa sasa anakuwa ni mtaalamu wa IT aliyethibitishwa na Microsoft ambaye ana umri mdogo zaidi duniani.

Hiki ndicho cheti alichopewa mtoto huyo na Kampuni ya Microsoft.
Hiki ndicho cheti alichopewa mtoto huyo na Kampuni ya Microsoft.

 Hii ni video ya mtoto huyo iliyopo kwenye mtandao wa Youtube, unaweza kuitazama hapa.
 

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Huyu Ndio mtaalamu wa IT mwenye umri mdogo kuliko wote Duniani - Video
Huyu Ndio mtaalamu wa IT mwenye umri mdogo kuliko wote Duniani - Video
http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/11/JS49533447.jpg?resize=615%2C409
https://i.ytimg.com/vi/pYw7JtZD0UM/default.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/huyu-ndio-mtaalamu-wa-it-mwenye-umri.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/huyu-ndio-mtaalamu-wa-it-mwenye-umri.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago