Kupitia Instagram Staa wa Filamu Jackline Wolper ameshare Picha hizi 2 ambapo Mashabiki wake wanaonekana kuzipokea...
Kupitia
Instagram Staa wa Filamu Jackline Wolper ameshare Picha hizi
2 ambapo Mashabiki wake wanaonekana kuzipokea kwa Hisia
Tofauti. Shuka chini kusoma maoni ya watu mbalimbali

Jackline Woper

MAONI YA WATU
1. 2013flo
Umependeza kasoro maziwa tu yasitiri kdg mrembo.
2.Juliethseif
Umeanza ln tabia ya kuacha maziwa njeee..ni balaaa.
3. mushiukundi
Una wazazi kweli ww kujiacha wazi hivyo!!! Huogopi wazazi wako??
4. johalex10
Umependeza mrembo