Archive Pages Design$type=blogging

BATULI KUOLEWA TENA HIVI KARIBUNI!

GOOD news kwa mtoto mzuri Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ni kwamba anatarajia kuolewa hivi karibuni baada ya kuishi maisha ya...

GOOD news kwa mtoto mzuri Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ni kwamba anatarajia kuolewa hivi karibuni baada ya kuishi maisha ya upweke kwa muda mrefu.
 
Msanii wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’.
Batuli ambaye ni mama wa watoto wawili, amesema kuwa kwa umri alionao, amejifunza vitu vingi katika maisha hivyo kwa kuwa ameshampata mtu sahihi kwake, ameona bora aolewe. Alisema katika safari ya maisha, vikwazo ni vingi ikiwemo masuala ya skendo za wasanii lakini ameshavuka vikwazo hivyo na hahitaji tena kuyumbishwa na mtu kwani anaingia kwenye ndoa akiwa ameshajifunza mengi.
“Ndoa siyo kitu cha mchezo tena kwa sisi wasanii mambo ni mengi. Kazi yetu tunakutana katika mazingira mbalimbali hatarishi na wadau tofauti, vikwazo ni vingi na mtu akivuka salama basi ni jambo la kumshukuru Mungu,” alisema Batuli.
 
Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ akipozi.
Paparazi wetu alimbana zaidi Batuli ili aweze kujua hiyo ‘hivi karibuni’ kwake ina maana ya lini ambapo hakutaka kutaja tarehe ya harusi lakini akaahidi kumwanika mume wake mtarajiwa Desemba 5, mwaka huu sambamba na kutaja siku husika ya ndoa. “Wewe usijali, utakuwa wa kwanza kualikwa. Tena Desemba 5 nitakuita umuone mume wangu mtarajiwa, nitakutambulisha kwa majina na kila kitu, baada ya hapo nitakupa tarehe kamili ya ndoa yangu maana kila kitu kimeshakaa kwenye mstari, soon tu nitakuwa mke wa mtu,” alisema Batuli. Watoto wawili ambao Batuli anao kwa sasa, alizaa na wanaume wawili tofauti ambao hapendi kuwazungumzia kwa kuwa tayari zama zao zilishapita.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: BATULI KUOLEWA TENA HIVI KARIBUNI!
BATULI KUOLEWA TENA HIVI KARIBUNI!
http://api.ning.com:80/files/dM6a4AYRwJO6016rs3187Dkv*UePcNS-c71lBDsodj6*vJKCyrjSyqYNSC0tYSFqCL2atqJ8RehjpAa75R2Yvnlp1KFuIge1/bat.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/batuli-kuolewa-tena-hivi-karibuni.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/batuli-kuolewa-tena-hivi-karibuni.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago