Archive Pages Design$type=blogging

Aunty Ezekiel: Jamani niacheni ni maisha yangu

NYOTA wa filamu za Kibongo, Aunty Ezekiel amesema hapendelei kuwaona watu wakimsumbua kwa kumtaka afanye wanavyotaka wao, ilhali yeye ...

NYOTA wa filamu za Kibongo, Aunty Ezekiel amesema hapendelei kuwaona watu wakimsumbua kwa kumtaka afanye wanavyotaka wao, ilhali yeye ana maisha yake binafsi.
Mwigizaji huyo aliyefanya sherehe ya kuzaliwa siku chache zilizopita, alisema licha ya kwamba yeye ni kioo cha jamii, lakini kuna wakati anapaswa aachwe ili aishi maisha yake binafsi, kwani anaamini umaarufu siyo mzigo.
“Nikiwa kama msanii ninapaswa kuishi maisha ya aina fulani ili niwe mfano kwa jamii, kinachonishinda ni watu wanaotaka niishi vile wanavyotaka wao, jambo ambalo si sahihi, ni vizuri wakakumbuka kwamba na mimi ni binadamu na nina maisha yangu binafsi,” alisema na kuongeza:
“Mfano katika akaunti zangu za mitandao ya kijamii, watu wananichagulia picha za ‘kupost’ kila siku kioo kioo, mnatuita vioo vya jamii wakati mnatutukana kila siku, kioo changu kimevunjika mjue hivyo nitafanya vile ninavyotaka na si mtakavyo ninyi,” alijigamba mwigizaji huyo

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Aunty Ezekiel: Jamani niacheni ni maisha yangu
Aunty Ezekiel: Jamani niacheni ni maisha yangu
http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2514534/highRes/870151/-/maxw/600/-/9b08dy/-/ezekiel_ezekiel.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/aunty-ezekiel-jamani-niacheni-ni-maisha.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/aunty-ezekiel-jamani-niacheni-ni-maisha.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago