post-feature-image
HomeBurudani

WEMA AZUA KIZAAZAA GEREZANI CHINA

KUONESHA ameguswa, Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alizua kizaazaa cha aina yake alipomtembelea mwanamitindo Jacqueline Fit...


KUONESHA ameguswa, Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alizua kizaazaa cha aina yake alipomtembelea mwanamitindo Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ gerezani nchini China.
Tukio hilo lilitokea juzikati kwenye gereza lililopo Mji wa Macau ambapo Wema aliambatana na meneja wake, Martin Kadinda pamoja na shemeji yake, Petit Man.
 
Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ akiwa na meneja wake, Martin Kadinda.
Chanzo kilicho karibu na Wema kimeeleza kuwa, Wema alipofika na kuona mazingira ya upweke ambayo Jack anaishi, aliwaza kwa muda na kuzungumza maneno kama mtu aliyechanganyikiwa hivyo kuwatia hofu Martin na Petit.
 
Mwanamitindo Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ wakati akiwa huru Bongo.
“Ilikuwa mshikemshike, alimmis sana Jack sasa alipomuona na mazingira yale ya upweke ndicho kilichomchanganya Wema lakini baadaye kina Martin walimrudisha kimawazo na hatimaye akawa sawa,” kilisema chanzo hicho na kuongeza:
 
Kete za madawa ya kulevya zilizowahi kunaswa.
“Hata hivyo, Wema amesema mazingira ya kule ndani siyo mabaya lakini kilichomuumiza yeye ni upweke ambao anao na watu wanaomzunguka.”
Jack alikamatwa Desemba 19, mwaka jana akiwa amebeba madawa ya kulevya aina ya Heroin yenye uzito wa kilo 1.1 katika Uwanja wa Ndege wa Macau akitokea jijini Bangkok nchini Thailand kuelekea Guangzhou, Mji Mkuu wa Jimbo la Guangdong Kusini mwa China.
Agosti, mwaka huu Jack Patrick ilielezwa kuwa alihukumiwa kifungo cha miaka sita jela huku kukiwa na uwezekano wa kupunguziwa adhabu endapo ataonesha utiifu gerezani.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: WEMA AZUA KIZAAZAA GEREZANI CHINA
WEMA AZUA KIZAAZAA GEREZANI CHINA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgwZ9otMBFFdPvFT4okd11Zt9wazisekwLGdSz0qDEajYULDhyphenhyphenxiqWtKlt4pSseN1ldteiu0W94Z6FbpqDu0YbtAYpdjUD6yIvcl_B-MLtuVBXjzu26A1iBfzMjGopTWZC8o_PcvYh4GR0/s1600/WemaSepetu.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgwZ9otMBFFdPvFT4okd11Zt9wazisekwLGdSz0qDEajYULDhyphenhyphenxiqWtKlt4pSseN1ldteiu0W94Z6FbpqDu0YbtAYpdjUD6yIvcl_B-MLtuVBXjzu26A1iBfzMjGopTWZC8o_PcvYh4GR0/s72-c/WemaSepetu.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/wema-azua-kizaazaa-gerezani-china.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/wema-azua-kizaazaa-gerezani-china.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago