Archive Pages Design$type=blogging

Watoto wa Shilole wanamuita Nuh Mziwanda ‘Uncle’

Watoto wawili wa kike wa muimbaji wa Tanzania, Shilole, hawamuiti mpenzi wa staa huyo Nuh Mziwanda ‘baba’ bali ‘uncle’ Akiongea n...

Watoto wawili wa kike wa muimbaji wa Tanzania, Shilole, hawamuiti mpenzi wa staa huyo Nuh Mziwanda ‘baba’ bali ‘uncle’



Akiongea na Power Jams ya East Africa Radio, Nuh amesema watoto hao wanampenda.

“Watoto wananiita uncle,” amesema Nuh. “Nafurahi nikiamka asubuhi ‘uncle good morning’, yaani fresh, ‘uncle maji ya kuoga’. Ni watoto lakini wananipenda, wana love kwangu. Kuna kazi nakuwepo mimi hata sifanyi, nikitaka maji ya kuoga wananiwekea maji ya moto. Nikiamka asubuhi chakula naona wananiwekea. Kama Joyce ni mkubwa kidogo so anaelewa, ananifanyia kila kitu uncle wake. Mimi nawapenda na wao wananipenda pia.”

Nuh aliiambia Bongo5 kuwa ana mpango wa kumuona msanii huyo.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Watoto wa Shilole wanamuita Nuh Mziwanda ‘Uncle’
Watoto wa Shilole wanamuita Nuh Mziwanda ‘Uncle’
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhe6cbydOmLE8r38TpUKD1QIClZw1pWdH1MwIkpjQppY8M8JBNg108pvl6SLuWcMZ7AbLWr9ZG6bmckhmpcEOr2l1l80yU3x-oIOjGEHq5HNGGF9IauB-NjVoHPvPYI-5YfgS_2yW8xElsB/s1600/10724010_378783955606418_810608667_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhe6cbydOmLE8r38TpUKD1QIClZw1pWdH1MwIkpjQppY8M8JBNg108pvl6SLuWcMZ7AbLWr9ZG6bmckhmpcEOr2l1l80yU3x-oIOjGEHq5HNGGF9IauB-NjVoHPvPYI-5YfgS_2yW8xElsB/s72-c/10724010_378783955606418_810608667_n.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/watoto-wa-shilole-wanamuita-nuh.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/watoto-wa-shilole-wanamuita-nuh.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago