Ufupi alionao aliyekuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ unaonekana kumtesa na hivi karibuni alikutana na mazin...
Ufupi alionao aliyekuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Mengere ‘Steve
Nyerere’ unaonekana kumtesa na hivi karibuni alikutana na mazingira
magumu alipokuwa akitaka kumhagi msanii mwenzake Aunty Ezekiel.
Tukio hilo lilijiri kwenye pati ya bethidei
ya Aunty iliyofanyika kwenye hoteli moja iliyopo Masaki jijini Dar
ambapo wakati wa keki, Steve alilishwa kwa Aunty kuinama kidogo lakini
wakati wa kukumbatiana, jamaa huyo aliishia kwenye kifua na alipojaribu
kujirefusha ili ambusu, alishindwa hivyo kuibua kicheko ukumbini hapo.