Show ya Tunda Man nchini Africa kusini jumamosi iliyopita iliharibiwa baada ya mtu mmoja kupuliza pepper spray ama pil...
Show
ya Tunda Man nchini Africa kusini jumamosi iliyopita iliharibiwa baada
ya mtu mmoja kupuliza pepper spray ama pili pili iliyo katika mfumo wa
kupuliza kwenye chupa za Perfume, kwa mujibu wa Tunda Man anadai wakati
tukio hilo linatokea yeye alikua anatumbuiza ndani ya Club moja Capetown
ghafla yeye na mashabiki wakaanza kujiskia vibaya wengine walikua
wanaanguka
kwa kuishiwa pumzi na wengine wakaanza kukanyagana ili kuwahi kutoka
nje hali iliyosababisha majeraha kwa wengine ndipo ikabidi SOMA ZAIDI>>>