Muimbaji wa ‘Jambo Jambo’, Steve RnB amefunga ndoa na mchumba wake wa tangu sekondari, Naimana Kuyangana...
Muimbaji wa ‘Jambo Jambo’, Steve RnB amefunga ndoa na mchumba
wake wa tangu sekondari, Naimana Kuyangana. Wawili hao walisoma shule
moja na pia kusoma chuo cha IFM pamoja.
Ndoa yao ilifungwa Jumamosi iliyopita kwenye kanisa la Word Alive lililopo Sinza jijini Dar es Salaam.
Bwana na Bi. Harusi wakiwa na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo
Bi. Harusi