SIRI imefichuka juu ya wasanii wawili waliokuwa wapenzi wa muda mrefu na kumwagana, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ na Bondi Sinan kwamba wa...
SIRI
imefichuka juu ya wasanii wawili waliokuwa wapenzi wa muda mrefu na
kumwagana, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ na Bondi Sinan kwamba walipeana
kiapo kizito, Ijumaa limetonywa.
“Kiapo ni kitu kibaya sana, hivi karibuni Bondi alifiwa na mwanaye na Anti Lulu aliwahi kuwa na mimba ya mwanaume mwingine ikatoka, ukiunganisha matukio unaona kiapo chao kinafanya kazi,” kilidai chanzo hicho.
Bondi Sinan akiwa na Wastara.
Baada ya kuzinyaka habari hizi paparazi wetu alimtafuta Anti Lulu
ambaye alifunguka: “Ni kweli tuliapizana lakini mwenzangu alikiuka na
kwenda kuzaa na mwanamke, mtoto amefariki na mimi nilibeba ujauzito
mimba ikatoka.
“Mimi na Bondi tumetoka mbali sana na naamini hawezi kumuoa mwanamke mwingine zaidi yangu nikishamaliza mambo yangu na kuamua kutulia nitarudi tu kwake na huyo Wastara atamuacha,” alisema Anti Lulu.
Staa wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’.
Chanzo makini kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, katika
mapenzi yao waliapizana kwamba hakuna ruhusa kwa mmoja wao kuzaa na mtu
mwingine na ndiyo maana wote walipokiuka, yaliwafika mazito.“Kiapo ni kitu kibaya sana, hivi karibuni Bondi alifiwa na mwanaye na Anti Lulu aliwahi kuwa na mimba ya mwanaume mwingine ikatoka, ukiunganisha matukio unaona kiapo chao kinafanya kazi,” kilidai chanzo hicho.
“Mimi na Bondi tumetoka mbali sana na naamini hawezi kumuoa mwanamke mwingine zaidi yangu nikishamaliza mambo yangu na kuamua kutulia nitarudi tu kwake na huyo Wastara atamuacha,” alisema Anti Lulu.