Wakazi wa mkoa wa Singida usiku wa kuamkia leo wamepata burudani ya kutosha ya Serengeti Fiesta ambapo zaidi ya wasanii 15 walitumbuiza. ...
Wakazi wa mkoa wa Singida usiku wa kuamkia leo wamepata burudani
ya kutosha ya Serengeti Fiesta ambapo zaidi ya wasanii 15 walitumbuiza.
Full shangwe Singida
Show hiyo iliyofanyika katika katika uwanja wa Namfua ilihudhuriwa na
wakazi wa Singida na vitongoji vyake huku Nay wa Mitego, Mr Blue,
Dully Sykes, Makomando, Linah, Recho, Mwana FA, Nick wa Pili, Jambo
Squad, Mo Music, Barakah Da Prince, Edo Booy, G Lack, Stamina pamoja na
Young Killer walitoa burudani ya kutosha. Picha Zote Na Bongo 5

Adam Mchomvu alipata wakusambaza naye upendo

Barakah

Dj Fetty na Adam Mchomvu

Dully akiimba na wakazi wa Singida

Edo Booy

Full raha Singida

Ice Boy
Adam Mchomvu alipata wakusambaza naye upendo
Barakah
Dj Fetty na Adam Mchomvu
Dully akiimba na wakazi wa Singida
Edo Booy
Full raha Singida
Ice Boy
Jambo Squad wakionyesha uwezo wao
Linah akiwa na team yake
Linah na Mwana FA
Linah
Lugha Kali
Member wa kundi la Jambo Squad
Mo Music
Mr Blue akifanya yake
Mtangazaji wa Clouds TV Lugha Khali
Mwana FA
Nay wa Mitego
Nick wa Pili akifanya yake
Recho akiwa dancers wake
Recho
Stamina na Nay wa Mitego
Stamina
Utaipenda tu!
Wadau wa Singida wakifurahia burudani
Wadau wakipata burudani
Wasanii pamoja na wapenzi wa Fiesta walipanda jukwaani na kucheza kwa pamoja
Y Tony akiwa na mwenzake
Young Killer Msodoki
Picha Zote Na Bongo 5