Archive Pages Design$type=blogging

Ray C Afunguka Makubwa na Kumuomba Msamaha Zamaradi Mketema

Ray Ameamua kufunguka na Kusema Haya: " Kiukweli huwa naumia sana ninapoona mastaa tunatumia muda mwingi kulumbana na kugombana ...

Ray Ameamua kufunguka na Kusema Haya:
"Kiukweli huwa naumia sana ninapoona mastaa tunatumia muda mwingi kulumbana na kugombana kwa mambo ya kipuuzi sana,mastaa wenzetu wa Nigeria wanatushinda kwa mambo mengi sana sababu wao wanashirikiana na kusapotiana katika mambo mengi sana na hata ukiskia wamepishana basi ujue ni kwa ajili ya biashara tu na si vinginevyo!nilichogundua Mimi ni kwamba kumekua na makundi mbalimbali mitandaoni yanayokuza mambo na kusapoti wasanii kulumbana Mara team simba Mara team nyani!naingea kutoka. Moyoni kuwa watanzania tunasifika kwa kuwa na amani na upendo!sasa iweje tena tuishi maisha ya kuchukiana na ugomvi badala ya kuishi kwa amani?najua sisi wasanii tuna mashabiki wengi. Na tunapenda na nnyie mnatupenda kwahiyo mnatakiwa kutupatanisha tunapogombana na si kutushabikia coz mnaposhabikia ugomvvi ndio mnapotufanya tupoteze muda kulumbana badala ya kutumia huo muda kufanya kazi zetu za sanaa kwa bidii tutangaze nchi yetu tunapoteza muda kulumbana,wenzetu wanaigeria wako mbali sana kwa sababu wanasapotiana sana!wasanii tuache bifu za kijinga na tutumie muda mchache tuliopewa na mola kufanya kazi zetu kwa bidii tutangaze nchi yetu ili vizazi vijavyo virithi bidii zetu,na naomba sana mashabiki wote msapoti mazuri tuyafanyayo"
Ray C ameendelea kusema na kumwomba msamaha Zamaradi Mketema kama ifuatavyo :
"Love u zama n sorry for everything keep doing wat u do best @zamaradimketema n hey dogo langu @wemasepetu and my friend @new_kajala tusameheane na tupendane na tupige kazi Africa watutambue bana!!!!!!"

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Ray C Afunguka Makubwa na Kumuomba Msamaha Zamaradi Mketema
Ray C Afunguka Makubwa na Kumuomba Msamaha Zamaradi Mketema
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEglhWVLx7v8RlH6gFXF4lQg4vHZiNJtymGYwYQrRAhyphenhyphenftd1K0s0emA4jEIAx-5_CrR6L5D78TxyXPPq5LncA_Yci-Zz7TUIgBOXhMdXHUemah_1TkJTtw2l89mtt6kkOPT32U44vCuu5aOX/s1600/ray+c+na+zamaradi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEglhWVLx7v8RlH6gFXF4lQg4vHZiNJtymGYwYQrRAhyphenhyphenftd1K0s0emA4jEIAx-5_CrR6L5D78TxyXPPq5LncA_Yci-Zz7TUIgBOXhMdXHUemah_1TkJTtw2l89mtt6kkOPT32U44vCuu5aOX/s72-c/ray+c+na+zamaradi.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/ray-c-afunguka-makubwa-na-kumuomba.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/ray-c-afunguka-makubwa-na-kumuomba.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago