Wadau mbalimbali wa muziki nchini leo wamepata fursa ya kusikia mawaidha kutoka kwa maneja wa msanii wa muziki kutoka Marekani, T.I., J...
Wadau mbalimbali wa muziki nchini leo wamepata fursa ya kusikia
mawaidha kutoka kwa maneja wa msanii wa muziki kutoka Marekani, T.I.,
Jason Geter na kuzungumza na wadau wa muziki mbinu mbalimbali ili
kuuinua muziki wa Tanzania.