Rapper Missy Elliot ameshare picha ya muonekano wa mwili wake ulivyo hivi sasa, baada ya kupungua kwa ki...
Rapper Missy Elliot ameshare picha ya muonekano wa mwili wake
ulivyo hivi sasa, baada ya kupungua kwa kiasi kikubwa sana hadi unaweza
usimtambue kwa haraka.
Katika picha hiyo aliyoipost Instagram aliandika “Just got off stage
thanks @ALEXANDERWANGNY and @hmusa for having me perform I enjoyed.”
Elliot (43) alihudhuria na kutumbuiza kwenye Alexander Wang’s H&M launch huko New York wiki iliyopita.