Archive Pages Design$type=blogging

NISHA: SIJAFULIA JAMANI

BAADA ya saluni yake iliyopo Sinza jijini Dar kufungwa huku uvumi wa kudaiwa kufulia ukimuandama, msanii wa filamu, Salma Jabu ‘...


BAADA ya saluni yake iliyopo Sinza jijini Dar kufungwa huku uvumi wa kudaiwa kufulia ukimuandama, msanii wa filamu, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuwa uvumi huo hauna ukweli.
Akizungumza na mwandishi wetu, Nisha alisema biashara yake ya saluni ipo kama kawaida ila ameihamishia maeneo ya Chuo Kikuu - Mlimani kwa kuwa eneo la awali halikuwa na nafasi kubwa.
“Sijafulia hata kidogo hayo ni maneno tu yanayozagaa, saluni yangu nimeihamishia Mlimani jamani, nashangaa kweli kwa wanaosema nimefulia,” alisema Nisha.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: NISHA: SIJAFULIA JAMANI
NISHA: SIJAFULIA JAMANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhAMNiO3VDjWBeD0FmdKcsn_CaCkSeRFFI7Rf-ahxafX2gih-Re6-lCZ2atb-o86vPuqqUc9zLGWoGzG93eSYxcnxSDPq4uY922yjR-x_h1fX5lYVQ8IPbGEWoP9uXHMsJkkVMWSi5DPAQ/s1600/IMG_6044.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhAMNiO3VDjWBeD0FmdKcsn_CaCkSeRFFI7Rf-ahxafX2gih-Re6-lCZ2atb-o86vPuqqUc9zLGWoGzG93eSYxcnxSDPq4uY922yjR-x_h1fX5lYVQ8IPbGEWoP9uXHMsJkkVMWSi5DPAQ/s72-c/IMG_6044.JPG
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/nisha-sijafulia-jamani.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/nisha-sijafulia-jamani.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago