post-feature-image
HomeBurudani

News: Chid Benz kakamatwa na Polisi Airport

Najua kama umekua karibu na simu yako leo mitandao ya kijamii hasa Whatsap na twitter inaweza kuwa imetumika kukufikishia Taarifa ziliz...

WANAUME:USIDANGANYWE KUHUSU BIKRA KWA MWANAMKE
DALILI KUU 5 ZA MWANAMKE ALIYEFIKA KILELENI ANAVYOKUWA ... MUHIMU KUSOMA USIJE UKAIBIWA NA WEZI WA MAPENZI -
JAMAA ALIYEKUWA AKIWABAKA VIKONGWE ATIWA MBARONI HUKO KISARAWE PWANI

Najua kama umekua karibu na simu yako leo mitandao ya kijamii hasa Whatsap na twitter inaweza kuwa imetumika kukufikishia Taarifa zilizoanza kuzungumziwa na watu mbalimbali saa kadhaa zilizopita kwamba msanii Chid Benz amekamatwa na Polisi.
Taarifa zinasema kakamatwa na Polisi kwenye uwanja wa ndege Dar es salaam akiwa anaelekea Mbeya na hiyo imetokea baada ya kukutwa na vitu ambavyo ni kosa kwa yeyote kukutwa navyo.
Wakati tunaendelea kufatilia hii taarifa kwa upande wa pili wa Polisi, tumezungumza na muandaaji wa show ya Instagram Party ambayo Chid Benz ndio alikua anakwenda kushiriki kesho.
 
Fred amekiri kweli Chid Benz amezuiliwa na Polisi kwa kukutwa na vitu ambavyo hajavifahamu >>> “Sijapewa taarifa kamili lakini naambiwa kuna tatizo limetokea airport ya Dar es Salaam akiwa anasafiri kuja Mbeya, wameniambia kuna vitu ambavyo amebeba haviruhusiwi kupita Airport“
Chidi Benz alikua ameongozana na msanii mwenzake ambae ni Shetta hivyo Chidi kabaki na Polisi na Shetta amekwenda kupanda ndege kwa ajili ya kuelekea Mbeya.
tunaendelea kufatilia zaidi hizi taarifa ili kupata uhakika kutoka kwa upande wa Polisi.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: News: Chid Benz kakamatwa na Polisi Airport
News: Chid Benz kakamatwa na Polisi Airport
http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/10/Chidi-1.png?resize=417%2C397
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/news-chid-benz-kakamatwa-na-polisi.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/news-chid-benz-kakamatwa-na-polisi.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago