post-feature-image
HomeBurudani

Ndani ya Birthday Party ya Diamond Platinumz na zawadi ya BMW aliyopewa

Diamond Platinumz jana usiku alisherehekea siku yake ya kuzaliwa aki...

#SuguaGaga ya Shaa yamchanganya Wyclef, sasa kufanya Collabo hivi karibuni.
Hamisa Mobeto Asaula Nguo mbele ya Mashabiki
Diamond Platnumz:- Natafuta Dancers Wa Kike Kwa Muda Mrefu Ila Bado Kupata Wenye Viwango Vya Kimataifa.
Diamond Platinumz jana usiku alisherehekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza umri wa miaka 25.
Sherehe hiyo ilifana ambapo mama yake mzani na mpenzi wake Wema Sepetu pamoja na ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria waliinogesha sherehe hiyo iliyomalizika majira ya saa kumi alfajiri.
Pamoja na zawadi nyingine, Menejiment ya Diamond ilimpa zawadi ya gari jipya aina ya BMW X6.
Angalia matukio katika picha zilizopigwa na Edwin Elinema wa Times Fm.

Diamond akionesha ufundi wa kupiga ngoma
Lil Ommy wa Times Fm (Kulia) na Sheddy Clever
Yamoto Band wakiwaburudisha waalikwa
Gari alilopewa kama zawadi na menejimenti yake
Mama Diamond
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Ndani ya Birthday Party ya Diamond Platinumz na zawadi ya BMW aliyopewa
Ndani ya Birthday Party ya Diamond Platinumz na zawadi ya BMW aliyopewa
http://timesfm.co.tz/content/uploads/2014/10/3/cache/dimond_full.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/ndani-ya-birthday-party-ya-diamond.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/ndani-ya-birthday-party-ya-diamond.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago