post-feature-image
HomeBurudani

Mzee Chilo adai ugomvi wa Bongo Movie Unity unatokana na uchu wa madaraka

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Mzee Chilo amesema ungomvi unaotokea ndani ya Bongo Movie Unity unasabab...

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Mzee Chilo amesema ungomvi unaotokea ndani ya Bongo Movie Unity unasababishwa na uchu wa madaraka.

Chilo amesema hakuna chochote kinachogombaniwa zaidi ya madaraka ndani ya tasnia hiyo ambayo amedai imekosa ushirikiano.
“Nimesikia mengi sana kuhusu bongo movie unity, sijui huyu kajiuzulu lakini niseme ukweli tatizo ni uchu wa madaraka,” amesema. “Kila mtu anamwona mwenzake anakula sana, sasa kwa hali hii hatuwezi fika kokote. Sisi ni wamoja bila kuwa na taasisi za kutuongoza tutaishi vipi? Mimi hawakutaka ushauri wangu kuhusu hili suala ndio maana wala sikuliingilia, wakinihitaji nitawashauri. Kikubwa cha kuwashauri nawataka tushirikiane, tuache tofauti zetu.”
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Mzee Chilo adai ugomvi wa Bongo Movie Unity unatokana na uchu wa madaraka
Mzee Chilo adai ugomvi wa Bongo Movie Unity unatokana na uchu wa madaraka
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/10/Mzee-Chilo-akizungumza-jambo-na-watoto1.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/mzee-chilo-adai-ugomvi-wa-bongo-movie.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/mzee-chilo-adai-ugomvi-wa-bongo-movie.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago