Social Network Super Star Lemutuz Aomba Kuombwa Radhi Baada ya Shabiki Wake Kuona Picha Hii na Kukoment Ndege Wenye Rangi Moja Huruka...
Shabiki Alianza Hivi :
hariet_albert
"Dah!!huyu mbebez amekosa nguo ya heshima ya kuzuia huo mtindi daaaaah!!izi picha nyingine unazopiga @lemutuz_nation .zinaharibu au zinaleta maana nyingine ya ile slogan ndege wenye rangi moja huruka pamoja@lemutuz_nation @leahmassawe !!"
Lemutuz Akajibu Hivi:
lemutuz_nation
"@hariet_albert PLEASE UMEENDA MBALI SANA UNASEMA.MIMI NI KIRANJA WA KUSIMAMIA NGUO WANAZOVAA WANANCHI KWENYE STAREHE? I MEAN HIZO.NI NGUO MTU AMEVAA KWENYE STAREHE TENA USIKU PICHA INA TATIZO GANI SISTER PLEASE NINGEPIGA PICHA NA HUYU DADA KWENYE MKUTANO WA CCM KWELI TUMEKUTANA KWENYE STAREHE NA TUMEACHANA HAPO HAPO SASA MAMBO YA NDEGE KURUKA PAMOJA YAMETOKEA WAPI SISTER? NIOMBE RADHI PLEASE"