post-feature-image
HomeBurudani

KAJALA AUMBUKA VIBAYA MTANDAONI - KWA AJILI YA KUFANYA HIVI

Kupitia mtandao maarufu wa picha wa kijamii, mwanadada Kajala amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuweka picha ya simu aina y...

Kupitia mtandao maarufu wa picha wa kijamii, mwanadada Kajala amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuweka picha ya simu aina ya samsung galaxy note 4 kwenye account yake kuwa anamiliki simu hiyo ilihali simu yenyewe ikiwa bado hata haijaanzwa kuuzwa sehemu yoyote duniani. Kupitia picha hiyo kajala aliambulia maneno kadhaa ya kashfa toka kwa watu mbalimbali wengi wao wakimtaka aache maisha ya kuigiza.


Baadhi ya maoni hayo ni:-
“Hahahaha watu ndo wanatoa pre order october 16 ndo ina launched we umeitoa wap wakat bado haijaanzwa kuuzwa!dah!kwel sasa naanza kumin maisha yako ni ya kuigiza nakufata mkumbo mumy…pole” 
“Duh … Simu aijatoka hiyo Pre Order imeanza USA & UK tarehe 19/09 lkn retail stores wanaanza kuuza tarehe 17/10 , hiyo pre order kwa watu ambao awataki kumiss ikitoka wanalipia kabisa ikitoka unaenda kuchukua , sasa hiyo umenunua wapi mwenzetu…” 
“KAJALA ACHA UONGO HII CM LABDA MCHINA ORIGINAL HAIJATOKA MPAKA KWA ORDER LOO MWANAMKE MZIMA MPKA LEO UNARINGISHIA CM PAULA NAE AFANYE NINI”Wewe unaonaje kuhusu jambo hili la mastaa nchini kuishi maisha ya kuigiza kwa ajili ya kuonekana wapo juu kwa mashabiki wao?!
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: KAJALA AUMBUKA VIBAYA MTANDAONI - KWA AJILI YA KUFANYA HIVI
KAJALA AUMBUKA VIBAYA MTANDAONI - KWA AJILI YA KUFANYA HIVI
http://4.bp.blogspot.com/-PTRul9hnswU/VDdGaLs0ARI/AAAAAAAArf0/yYapTqZKqDU/s1600/KAJALAAA3.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-PTRul9hnswU/VDdGaLs0ARI/AAAAAAAArf0/yYapTqZKqDU/s72-c/KAJALAAA3.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/kajala-aumbuka-vibaya-mtandaoni-kwa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/kajala-aumbuka-vibaya-mtandaoni-kwa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago