post-feature-image
HomeMajuu

Je, Eti wanaume wafupi ni waume bora?

Sophie Dahl amekuwa kiulizwa maswali kuhusu...

Blonde Electra, Azua Gumzo kwa Mashabiki Baada ya Kumla Ma*** Dada Yake Live, Hiki Ndicho Walichoongea
Picha(18+):- Gabi Grecko's Afungiwa Akaunt ya Instagram Kwa Ajili ya Kupost Mfululizo wa Picha Hizi za Utupu
Picha(18+):- Dunia Ina Mambo, Wanamama wakusanyika Kupiga Picha za Utupu kwa Ajili ya Karenda Mpya ya 2015
Sophie Dahl amekuwa kiulizwa maswali kuhusu urefu wake na kimo cha mumewe
Wanaume ambao ni wafupi kwa kimo mara nyingi wanasifika kuwa waume bora kuliko wanaume warefu.
Pia inaarifiwa huwa na busara zaidi kufidia kimo chao, amekiri Adam Gopnik, mwanamme mmoja wenye umbo dogo.
Wiki kadhaa zilizopita, wana soshologia wawili kutoka Chuo Kikuu cha New York, walichapisha waraka mrefu ulioangalizia maisha ya watu wafupi.
Utafiti wao ulizua mjadala mkali kutoka kwa kile kinachoweza kusemekana kuwa jamii ya wanaume wenye kimo kifupi.

Waandishi wa waraka huo wa maswala ya kijamii unaashiria kwamba wanaume wenye haiba ya kuvutia mara nyingi hupendelewa katika maisha yao hivyo wanaripotiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na zaidi ya mpenzi mmoja.
Hata hivyo, hitimisho la waraka huo, pindi mtu anapoupitia, unashangaza. Ni kwamba, watu wafupi wana ndoa za kudumu zaidi.
Rod Stewart na mkewe Penny Lancaster
Wanafanya hayo, katika mazingira magumu wakiwa katika umri tofauti na kipato tofauti, na wanayafanya hayo wakiwa na wanawake wafupi ambao wanawaoa, na wakati mwengine na hata wanawake warefu wanaokutana nao.
Wanaume wafupi wanaoa kuchelewa, lakini pindi wanapooa, wanadumu katika ndoa kwa muda mrefu, na kwa kiwango cha sayansi ya kijamii, angalau wanakuwa na furaha.
Kuna sababu zinazoonyesha kwa nini wanaume wafupi wanadumu kwenye ndoa.
Nazo ni, wanaume wafupi wanaonyesha kukata tamaa. Wanaume wafupi wanaishi katika ulimwengu wa wanaume warefu na wanajua kila fursa inayopatikana, ni bora kuidhibiti.
Hali ya kukata tamaa ndio inayowafanya wanaume wafupi kuwa wanaume bora kwa wake zao. Watafiti hao pia walisema kuwa wanaume wafupi hukimbilia kufanya kila kitu kuwafurahisha wapendwa wao wakati wanume warefu hilo halliwajalishi.
Spika wa bunge la waakilishi Uingereza, John Bercow, na mkewe Sally
Moja wapo ya ufumbuzi wa ripoti hiyo pia ni kwamba wanaume wafupi wanafanya kazi chache za nyumbani wanapokuwa kwenye ndoa kuliko wanaume warefu, ingawa utafiti pia unaonyesha kwa wanaume wenye kimo kirefu, aina ya kazi zao za nyumbani inatofautiana.
Kwa maana nyengine, wanaume wafupi hawafiki juu ya makabati. Wanaume wafupi hawadumu kwenye ndoa kwa sababu ya kutaka kuridhisha, bali wanadumu kwenye ndoa kwa sababu wanataka kuonekana.
Utafitio huu kama ulivyosoma hapo awali umeua mjadala mkali lakini pindi mtu anaposoma utafiti wao kinachojitokeza zaidi ni kuwa wanaume wafupi wanakuwa na ndoa za kudumu.
Hii ni licha ya mazingira magumu wanayokabiliwa nayo katika ndoa zao na hufanya hivyo na wake wafupi waliowaoa lakini pia na wanawake warefu wanaokuwa wamewaoa.
Utafiti huo unahitimika kwa kusema wanaume wafupi hawana kasi ya kuoa lakini wanapooa wao hudumu katika ndoa zao.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Je, Eti wanaume wafupi ni waume bora?
Je, Eti wanaume wafupi ni waume bora?
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNZFfbJIccBzf_zZMe3atN42vYb8DJt4BuaB8RSdXDiQGwPn92FWD910yEMjvWvoY-0eE8HS_6WvXy65h2Zv3Z5JftJWqV8xR1sEgLoErseEcvZbiOJw3c1JMNc4_HBhxrzbkoMIUQKpBi/s1600/141007141807_short_men_1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNZFfbJIccBzf_zZMe3atN42vYb8DJt4BuaB8RSdXDiQGwPn92FWD910yEMjvWvoY-0eE8HS_6WvXy65h2Zv3Z5JftJWqV8xR1sEgLoErseEcvZbiOJw3c1JMNc4_HBhxrzbkoMIUQKpBi/s72-c/141007141807_short_men_1.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/je-eti-wanaume-wafupi-ni-waume-bora.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/je-eti-wanaume-wafupi-ni-waume-bora.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago