post-feature-image
HomeBurudani

JAMAA ALIYEKUWA AKIWABAKA VIKONGWE ATIWA MBARONI HUKO KISARAWE PWANI

JESHI la Polisi mkoani Pwani limefanikiwa kumkamata Michael William maarufu (Michael dada), mkazi wa Kiluvya, wilayani Kisarawe anayetuhu...

HIKI NDICHO USICHOKIJUA KUHUSU THEA
Picha:- Petit Man Na Esma Dada Yake Diamond Platnumz Wafunga Ndoa.
PICHA:- MSANII BONGO FLEVA... AAIBISHA MA-MISS - (+18)
JESHI la Polisi mkoani Pwani limefanikiwa kumkamata Michael William maarufu (Michael dada), mkazi wa Kiluvya, wilayani Kisarawe anayetuhumiwa kuhusika na matukio ya ubakaji wa vikongwe mkoani hapa.

 Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa polisi mkoa wa Pwani Ulrich Matei alisema jeshi hilo lilikuwa likimsaka mtuhumiwa huyo kwa kipindi kirefu kutokana na kudaiwa kutenda makosa mbalimbali ya ubakaji wa vikongwe na wanawake na kutokomea kusikojulikana.
 Alisema, William alitiwa mbaroni juzi baada ya kudaiwa kuhusika katika tukio la wizi wa mifugo lililotokea wiki mbili zilizopita huko Kiluvya.

Pia kamanda Matei alisema, mtuhumiwa huyo anadaiwa kuhusika katika matukio ya ubakaji zaidi ya 10 ambapo kabla ya kufanya vitendo hivyo alikuwa akiwatishia wahusika kwa mapanga.

"Huyu kijana anayejiita Michael dada ni maarufu kwa matukio ya ubakaji na alilisumbua jeshi letu mara kadhaa kwa kunasua mitego aliyowekewa leo tumelazimika kumleta mbele yenu waandishi ili mumuone ni mdogo lakini ametusumbua sana," alisema.

William alikiri mbele ya waandishi wa habari kuwa miaka ya hivi karibuni aliwahi kufanya unyang'anyi wa kutumia silaha kosa ambalo lilimsababishia kuhukumiwa miaka 30 jela
Matei alisema kabla kifungo hicho hakijamalizika mwaka 2011 na 2012, William alikata rufaa na kutolewa ili kuendelea na taratibu nyingine na tangu hapo hakuonekana hadi polisi walipofanikiwa kumkamata kwa kosa la wizi wa mifugo.


Hata hivyo William alikana kuhusika na tuhuma zinazomkabili na kudai yeye sio Michael dada kama anavyoitwa bali ni Michael William na tuhuma za ubakaji ni za kusingiziwa.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: JAMAA ALIYEKUWA AKIWABAKA VIKONGWE ATIWA MBARONI HUKO KISARAWE PWANI
JAMAA ALIYEKUWA AKIWABAKA VIKONGWE ATIWA MBARONI HUKO KISARAWE PWANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1_deJb4nPRasyEajNs582ClH2eoNBeufseHicPyCMhVjA16uvXMsNRAmtKtF5Yl93BLe8ocRcUhrsk8iYXqxo7f7hCHfLIK0gmZ24avqqptpN9WQlsMCnOmeb6-zXdDWm0_SIKwVcWsjt/s1600/mbara13.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1_deJb4nPRasyEajNs582ClH2eoNBeufseHicPyCMhVjA16uvXMsNRAmtKtF5Yl93BLe8ocRcUhrsk8iYXqxo7f7hCHfLIK0gmZ24avqqptpN9WQlsMCnOmeb6-zXdDWm0_SIKwVcWsjt/s72-c/mbara13.JPG
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/jamaa-aliyekuwa-akiwabaka-vikongwe.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/jamaa-aliyekuwa-akiwabaka-vikongwe.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago