Archive Pages Design$type=blogging

Hussein Machozi nae kaachia wimbo unaitwa ‘Mdogo Mdogo’? Mtandao wa Kenya wampambanisha na Diamond

Mtandao wa GHAFLA wa Kenya umewaweka ulingoni nyota wa Tanzania Diamond Platnumz na Hussein Machozi kwa...


Mtandao wa GHAFLA wa Kenya umewaweka ulingoni nyota wa Tanzania Diamond Platnumz na Hussein Machozi kwa kupambanisha wimbo wa ‘Mdogo Mdogo’ wa Platnumz, na wimbo ‘mpya’ wa Machozi ambao bado haujatoka wenye jina hilo hilo ‘Mdogo Mdogo’.
“Is This Beef in the Making??” Ndivyo umeuliza mtandao huo kwenye kichwa cha habari hiyo.
“Hussein Machozi has chucked another tune dubbed Mdogo mdogo which surprisingly shares the same name with Diamond’s Mdogo mdogo barely 3 months after the latter dropped his. The BIG QUESTION could this be a drive to prove Diamond wrong? If you listen to this tune by Hussein Machozi its crystal clear that it is a big tune but do i say? “
Hivi ndivyo ilivyoandikwa na mtandao huo.
GHAFLA wameongeza kuwa kuna tetesi kuwa Hussein Machozi na Diamond hawapikiki chungu kimoja.
Iskilize ‘Mdogo Mdogo’ ya Hussein Machozi


COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Hussein Machozi nae kaachia wimbo unaitwa ‘Mdogo Mdogo’? Mtandao wa Kenya wampambanisha na Diamond
Hussein Machozi nae kaachia wimbo unaitwa ‘Mdogo Mdogo’? Mtandao wa Kenya wampambanisha na Diamond
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiQOAGp_wF_TVD5T1JR_M4btOoKbdQovVJJuwmCq3HFVuj6NKmVyUMQ2PIyGmA9QibtxS4ufIrCKYDqkfvQ4J0QlGR35hTNcRPEyyPm3OQNLo7ZTAXzyln6SJRoXPePzyC5q4F8NDN9BLBr/s1600/hussein-na-Diamond.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiQOAGp_wF_TVD5T1JR_M4btOoKbdQovVJJuwmCq3HFVuj6NKmVyUMQ2PIyGmA9QibtxS4ufIrCKYDqkfvQ4J0QlGR35hTNcRPEyyPm3OQNLo7ZTAXzyln6SJRoXPePzyC5q4F8NDN9BLBr/s72-c/hussein-na-Diamond.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/hussein-machozi-nae-kaachia-wimbo.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/hussein-machozi-nae-kaachia-wimbo.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago