Miss Sinza aliyeshiriki Miss Tanzania 2011, Husna Maulid amekanyaga skendo ya wizi baada ya kudaiwa kuwahi ‘kumdokolea’ aliyekuwa mpenzi...
Miss Sinza aliyeshiriki Miss Tanzania 2011, Husna Maulid amekanyaga
skendo ya wizi baada ya kudaiwa kuwahi ‘kumdokolea’ aliyekuwa mpenzi
wake, Mwani Rajabu ‘Mkongo’.
“Yaani Husna hana kasoro nyingine zaidi ya hiyo kwani amekuwa akinifanyia hivyo tunapokuwa hotelini, sasa tabia yake ilinichosha nikaamua kuachana naye.”
Kwa upande wake Husna alipoulizwa kuhusiana na tuhuma hizo alikanusha vikali na kusema hajawahi kuwa mwizi bali anazushiwa.
“Mimi siyo mwizi na sijawahi, naomba muulize vizuri huyo Mkongo kama nilishawahi kumuibia nini,” alisema Husna.
Miss Sinza aliyeshiriki Miss Tanzania 2011, Husna Maulid.
Chanzo kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, kutokana na
tabia hiyo Husna alitoswa na mpenzi wake huyo ambaye ni raia wa
Kongo.Baada ya kuzinyaka habari hizo mapaparazi wetu walimtafuta Mwani
ambaye yupo Bongo kwa sasa na alipopatikana alisema:“Yaani Husna hana kasoro nyingine zaidi ya hiyo kwani amekuwa akinifanyia hivyo tunapokuwa hotelini, sasa tabia yake ilinichosha nikaamua kuachana naye.”