Archive Pages Design$type=blogging

Hizi Ndio Picha sita baada ya Diamond Platnumz kuachiwa kwa dhamana leo

Taarifa zinazomhusu msanii Diamond Platnumz kuhojiwa na jeshi la Polisi hii leo zimeenea sana kupitia vyombo vya habari na mita...

.
Taarifa zinazomhusu msanii Diamond Platnumz kuhojiwa na jeshi la Polisi hii leo zimeenea sana kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kuanzia jana (tarehe 21 Oktoba) meneja wa msanii huyo Babu Tale amekua akihojiwa na polisi mpaka alipoachiwa kwa dhamana mapema leo saa 5.
Vile vile msanii Diamond aliripoti polisi mapema leo kwa ajili ya kuhojiwa, ambapo baada ya kuhojiwa msanii huyo ameachiwa kwa dhamana pia jioni hii.
Hizi ni picha zikimuonesha msanii Diamond akitoka kuhojiwa na jeshi la polisi.
.

.
.
.
.
.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Hizi Ndio Picha sita baada ya Diamond Platnumz kuachiwa kwa dhamana leo
Hizi Ndio Picha sita baada ya Diamond Platnumz kuachiwa kwa dhamana leo
http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC_0420.jpg?resize=431%2C319
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/hizi-ndio-picha-sita-baada-ya-diamond.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/hizi-ndio-picha-sita-baada-ya-diamond.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago